Aina mbalimbali za mapambo

Mapambo ni vitu mbalimbali ambavyo hutumia watu kwa kujipambia. Wanawake wengi hupenda kutumia vitu hivyo kwa ajili waonekane wanavutia.
Zipo aina mbalimbali za mapambo kama vile herini, podari, rangi ya mdomo, wanjam bangili, mtandio nk.

Comments